Jinsi na wakati wa kujiandikisha (How and when to enrol) - Kiswahili (Swahili)
On this page
- Jinsi ya kujiandikisha
- Chekechea ya Kuanza Mapema (ESK)
- Ni lini kujiandikisha
- Tafuta programu ya chekechea
- Tafuta Alama ya Vema ya Chekechea
Jinsi ya kujiandikisha
Zungumza na halmashauri yako ya mtaa au huduma ya chekecheakuhusu mchakato wa kujiandikisha. Unaweza pia kupiga simu kwenye Laini ya Maulizo ya Chekechea kwa Watoto wa Umri wa Miaka Mitatu kwenye 1800 338 663 au tuma barua pepe 3YO.kindergarten@education.vic.gov.au.
Kwa usaidizi katika lugha yako au kupata mkalimani, piga simu Huduma ya Kitaifa ya Tafsiri na Ukalimani kwa 131 450 kwanza.
Unaweza pia kuuliza kinder yako kwa maelezo kuhusu jinsi ya kutumia huduma ya bure ya ukalimani wa simu ya wazazi na walezi.
Chekechea ya Kuanza Mapema (ESK)
Watoto kutoka asili ya mkimbizi au mtafutaji hifadhi wanaweza kupata usaidizi zaidi na kupokea kipaumbele cha ufikiaji wa shule ya chekechea kupitia Chekechea ya Kuanza Mapema. Unaweza kuuliza huduma yako ya karibu kuhusu Chekechea ya Kuanza Mapema wakati unapojiandikisha mtoto wako, au tembelea Chekechea ya Kuanza Mapema kwa habari zaidi.
Ni lini kujiandikisha
Katika Victoria, unaweza kuanzisha watoto katika mpango wa chekechea wanapokuwa na umri wa miaka 3. Unaweza kuingiza tarehe ya kuzaliwa ya mtoto wako kwenye Kikokotoo cha Umri cha Kuanzia ili kujua ni mwaka gani anaweza kuanza Shule ya Chekechea ya Miaka Mitatu na Minne au Maandalizi ya Mapema.
Ikiwa mtoto wako amezaliwa kati ya tarehe 1 Januari na 30 Aprili unaweza kuchagua mwaka gani ataanza Shule ya Chekechea ya Miaka Mitatu. Mtoto wako anaweza kuanza Chekechea ya Umri wa Miaka Mitatu katika mwaka huo huo anapofikisha miaka 3, au mwaka anapofikisha miaka 4. Ikiwa mtoto wako anaanza Shule ya Chekechea ya Miaka Mitatu katika mwaka anapofikisha miaka 3 basi ataanza shule mwaka anapofikisha miaka 5. Ikiwa unachagua kumpeleka mtoto wako katika Shule ya Chekechea ya Miaka Mitatu katika mwaka atakapofikisha miaka 4, ataanza shule mwaka atakapofikisha miaka 6.
Tafuta programu ya chekechea
Ili kupata huduma zinazotoa programu za chekechea zilizoidhinishwa, tembelea pata tovuti ya programu za chekechea. Halmashauri ya eneo lako na huduma za chekechea pia zinaweza kukusaidia kupata nafasi katika shule ya chekechea.
Tafuta Alama ya Vema ya Chekechea
Alama ya Vema ya Chekechea husaidia familia za Victoria kupata mpango wa chekechea ulioidhinishwa kwa watoto wao.
Tafuta nembo ya alama ya Vema ya Chekechea kwenye huduma ya shule ya chekechea iliyo karibu nawe, kwenye huduma au jengo la kituo au uwanja, kwenye tovuti yao au katika nyenzo zao za taarifa.

Updated 26 March 2026
About the VIC Government
- The Premier and ministers
- Find a Vic Gov department, agency or service
- Strategies and policies
- Inquiries and royal commissions
Grants and programs
Jobs and careers
Arts, culture and heritage
Business and the workplace
- Mentally Healthy Workplaces Framework
- Portable Long Service Authority
- Victoria’s racing industry
- Workforce Inspectorate Victoria
- Liquor licensing, sale and supply
Communities
- Children
- First Peoples - State Relations
- Finding records
- Gender equality & women’s leadership
- LGBTIQA+ equality
- Multicultural communities
- Seniors Online
- Veterans support and commemoration
- Volunteering in Victoria
- Youth Central
Education and training
- Victorian Early Childhood Regulatory Authority
- Early childhood education – information for professionals
- Kinder: Best Start, Best Life
- Education – information for parents
- Schools.Vic - information for schools
- Education grants, programs, awards and events
- PROTECT
- TAFE, training and universities sector
- TAFE Victoria
- Victorian Skills Authority
- Apprenticeships Victoria
- Learn Local
Environment, water and energy
Finance and economy
Health and social support
- Family violence reform
- NDIS Worker Screening Check
- NDIS and disability services and support in Victoria
- Patient Review Panel
- Transforming Trauma Victoria
Housing and property
Law and justice
- Adoption
- Births, deaths and marriages
- Honorary justices
- Machete ban
- Safeguarding Victorians against terrorism
- Stolen Generations Reparations Package
- Victims of Crime
- Victorian Racing Tribunal
Safety and emergencies
- Emergency Recovery Victoria
- Victorian Emergency Relief and Recovery Foundation
- Emergency Recovery Resource Portal
- How well do you know fire
- Fire Services Reform
- Water safety
- Marine Search and Rescue
Science and technology
- Data sharing and open data
- Data.vic - discover and access Vic Gov open data
- Developer.Vic - portal for API developers
- Go.vic URL shortener
- Vic Gov IT project dashboard
- Victoria’s free public wi-fi network
- Cyber security in the Victorian Government
Sport and recreation
Traffic and transport
- Cameras Save Lives
- Transport Fines
- Getting Around
- Transport Planning
- Transport Future
- Climate Change and transport
- Future Directions For Transport
- Transport projects
- Ports and Freight
Working in the Victorian Government
- Single Digital Presence home
- Accommodation and Library Services
- Executive employment in the Victorian public sector
- Budget, procurement and funding
- Careers in the Victorian Government
- Council and Regulator Toolkit
- Guidelines for working in government
- Join a government network
- Standards and guidelines
- VicFleet CarPool
- Victorian Government style guide